Hapa tutatumia swahili peke
hapa Umefika kwenye tovuti ya kipekee ambayo itabadilisha maisha yako ukiitaka, Hapa utajifunza ujuzi wa kompyuta na ufundi simu.
Jinsi ya kuanza kusoma hapa Kuanza ni rahisi sana kwa sababu unachohitaji kufanya ni kufikiria kwanza kile unachotaka kujifunza, iwe ni kujenga tovuti au kutengeneza simu au zote mbili.
Hapo juu, kuna sehemu za kubofya ukishaamua utasomea nini, kuna moja inasema Ufundi simu na nyingine inasema kujenga tovuti.
Baada ya kubofya kozi uliyochagua, jisajili (Sign up)na ufuate maagizo.
Masomo hizi itakufanya uwe Mtaalam:
Kujifunza hakumaliziki mambo mapya huibuka ya kujifunza kila siku.
Kama unahitaji tovuti ongea nasi, tutakujengea tovuti nzuri sana
Tafadhali jisikie huru kuwasiliana nasi ikiwa una maswali au wasiwasi wowote.